"Bandika" "Muundo huru" "Hakuna vipengee vya hivi karibuni" "Mipangilio ya matumizi ya programu" "Ondoa zote" "Programu za hivi karibuni" "Jukumu Limefungwa" "%1$s, %2$s" "< dak 1" "Umebakisha %1$s leo" "Mapendekezo ya programu" "Programu zako zinazopendekezwa" "Pata mapendekezo ya programu kwenye sehemu ya chini ya Skrini yako ya kwanza" "Pata mapendekezo ya programu katika safu ya vipendwa ya Skrini yako ya kwanza" "Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na ratiba zako. Programu zilizo kwenye sehemu ya chini zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza." "Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na utumiaji wako. Programu zilizo katika safu ya vipendwa zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza." "Pata mapendekezo ya programu" "Hapana" "Mipangilio" "Programu zinazotumiwa zaidi huonekana hapa na hubadilika kulingana na ratiba" "Buruta programu kutoka kwenye safu ya chini ili upate mapendekezo ya programu" "Mapendekezo ya programu yamewekwa kwenye nafasi isiyo na kitu" "Mapendekezo ya programu yamewashwa" "Umezima mapendekezo ya programu" "Programu iliyotabiriwa: %1$s" "Hakikisha unatelezesha kidole kuanzia ukingo wa kulia kabisa au ukingo wa kushoto kabisa." "Hakikisha unatelezesha kidole kuanzia ukingo wa kulia au kushoto kuelekea katikati ya skrini na uachilie." "Umejifunza jinsi ya kutelezesha kidole kuanzia kulia ili kurudi nyuma. Sasa jifunze jinsi ya kubadilisha programu." "Umekamilisha ishara ya kurudi nyuma." "Hakikisha hutelezeshi kidole karibu sana na sehemu ya chini ya skrini." "Kubadilisha hisi ya ishara ya nyuma, nenda kwenye Mipangilio" "Telezesha kidole ili urudi nyuma" "Ili urudi kwenye skrini iliyotangulia, telezesha kidole kuanzia ukingo wa kushoto au wa kulia kuelekea katikati ya skrini." "Ili urudi kwenye skrini iliyopita, telezesha vidole viwili kuanzia ukingo wa kushoto au wa kulia kuelekea katikati ya skrini." "Rudi nyuma" "Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini." "Hakikisha kuwa husimamishi kabla ya kuachilia." "Hakikisha unatelezesha kidole kuelekea juu." "Umekamilisha ishara ya kwenda kwenye Skrini ya kwanza. Sasa jifunze jinsi ya kurudi nyuma." "Umekamilisha ishara ya kwenda kwenye Skrini ya kwanza." "Telezesha kidole ili uende kwenye skrini ya kwanza" "Telezesha kidole juu kuanzia chini ya skrini yako. Ishara hii kila wakati hukupeleka kwenye Skrini ya kwanza." "Telezesha vidole viwili kuelekea juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini. Ishara hii kila wakati hukupeleka kwenye Skrini ya kwanza." "Nenda kwenye ukurasa wa mwanzo" "Ili uende kwenye skrini ya kwanza muda wowote, telezesha kidole juu kutoka sehemu ya chini ya skrini" "Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini." "Jaribu kushikilia dirisha kwa muda mrefu kabla ya kuachilia." "Hakikisha unatelezesha kidole kuelekea juu, kisha usimamishe." "Umejifunza jinsi ya kutumia ishara. Ili uzime ishara, nenda kwenye Mipangilio." "Umekamilisha ishara ya kubadilisha programu." "Telezesha kidole ili ubadilishe programu" "Ili ubadili kati ya programu, telezesha kidole juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini yako, ushikilie, kisha uachilie." "Ili ubadilishe kati ya programu, telezesha vidole viwili kuelekea juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini yako, ushikilie, kisha uachilie." "Badilisha programu" "Kila kitu kiko tayari" "Nimemaliza" "Mipangilio" "Jaribu tena" "Safi!" "Mafunzo ya %1$d kati ya %2$d" "Tayari!" "Telezesha kidole juu ili uende kwenye skrini ya kwanza" "Gusa kitufe cha ukurasa wa mwanzo ili uende kwenye skrini ya kwanza" "Uko tayari kuanza kutumia %1$s yako" "kifaa" "Mipangilio ya usogezaji kwenye mfumo" "Shiriki" "Picha ya skrini" "Iliyogawanywa" "Gusa programu nyingine ili utumie kipengele cha kugawa skrini" "Chagua programu nyingine ili utumie hali ya kugawa skrini" "Kitendo hiki hakiruhusiwi na programu au shirika lako" "Ungependa kuruka mafunzo ya usogezaji?" "Utapata mafunzo haya baadaye katika programu ya %1$s" "Ghairi" "Ruka" "Zungusha skrini" "Elimu ya Upauzana" "Paneli ya elimu kwenye upau wa shughuli inaonyeshwa" "Paneli ya elimu kwenye upau wa shughuli imefungwa" "Buruta programu pembeni ili utumie programu 2 kwa wakati mmoja" "Telezesha kidole juu taratibu ili ufungue Upauzana" "Pata mapendekezo ya programu kulingana na ratiba yako" "Washa usogezaji kwa kutumia ishara kwenye Mipangilio ili ufiche Upauzana kiotomatiki" "Kamilisha mengi kwa kutumia Upauzana huu" "Endelea" "Nyuma" "Funga" "Imemaliza" "Mwanzo" "Ufikivu" "Nyuma" "Kibadilishaji cha IME" "Vilivyotumika majuzi" "Arifa" "Mipangilio ya Haraka" "Upauzana" "Upauzana umeonyeshwa" "Upauzana umefichwa" "Sehemu ya viungo muhimu" "Sogeza juu/kushoto" "Sogeza chini/kulia" "{count,plural, =1{Onyesha programu # zaidi.}other{Onyesha programu # zaidi.}}" "%1$s na %2$s"